Nitapata chuo cha udsm

Yap mwaka huu....nilifuta zote ila leo nimerudisha moja pale lolote na liwe tuu

oryt...vip naweza jua idadi ya waliomba bcom account na ba in economics.....?......
 
Unaweza kupata hiyo "FAKART YA BARCH OFART WITH EDUCATION" ila Degree programme ya Bachelor of Arts with Education sahau.... you can't be serious... Kweli matunda ya shule za kata yameanza kuonekana.

hahahahaha uwiiiii mbavu zanguuuuu mieee!
 
kwa mwaka huu div 1 na 2 nichache xana,alaf hyo coz inachukua wa2 weng xana,xo uhakika wakupata pia upo
 
N hv wanaotakiwa UDSM BA.ed_1600
walioomba 4000
Eligible_1400
Kati ya hizo eligible walioaply Ba.ed kama first choice n 746 nazani ka zitabakia hv ilvo atapata nafasi udsm 100% au mnaonaje wakuu
msimtishe kihivo jamani.inategemeana kwa kila mwaka matokeo yakoje.matokeo yakiwa yakawaida basi anaweza compete.watu mwakajana mbona wamepata baadhi.unaweza kuta wewe wa tano kwa mwisho umebahatika.un
 
mm nimepata div 3 ya 13 cut off point n 5.5 nimesoma HKL JE NITAPATA UDSM FAKAT YA BARCH OFART WITH EDUCATION MWAKA HUU

Kasome pale tanzania international university. Chuo kipo kimara. Watakuchukua fasteeerrr
 
Cutt of point zinatosha ila tatizo ni ushindani hapa...one na two kibao hasa kwa education but jaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…