Nitapata vipi joining instruction ya udsm

kelvin Brown

Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
7
Reaction score
0
jamani nilikuwa naitaji kujua application form na joining instruction za udsm nitazipata vipi?nimesikia znapatikana kwenye mtandao ila nmezikosa
 
jamani nilikuwa naitaji kujua application form na joining instruction za udsm nitazipata vipi?nimesikia znapatikana kwenye mtandao ila nmezikosa
hii press release kwa mwaka wa kwanza

ninavyofahamu mimi kuna kitu kianitwa admission letter ambayo ndio sawa sawa na join instruction letter barua hii kipindi nasoma nilizipata chuoni tarehe ya kufungua barua hii inaviambatishi ambavyo vinaonesha kozii uliyochaguliwa MEDICAL EXAMINATION FORM ,maelezo mengine kama gharama za registration , meals and accomadation allowances kiasi cha ada unacotakiwa kulipa nk .. sijajua kama utaratibu umebadilika barua hii ndio inakuwa kama ID/KITAMBULISHO CHAKO MWANZONI KABLA UJAPATA STUDENT ID CHA MSINGI NINGEKUSHAURI SUBIRI TAREHE YA KUFUNGUA HII NDIO YA MSINGI JONGEA CHUO UTAPATA UTARATIBU WOTE ..
 

mkuu,hapo kwenye medical examination,tunaenda kupima afya au tunafoji tu?
 
mkuu,hapo kwenye medical examination,tunaenda kupima afya au tunafoji tu?
UDSM huwa hawapimi unachotakiwa kufanya ni kuandaa biku tatu(sijui kama kiwango kishapanda) halafu form itatiwa saini pale pale chuoni...UJIPIMA MWENYEWE HOS[ITALI YOYOTE UNAYOJUA HAPA DUNIANI ukifika na matokeo yako pale chuoni hawayapokei inakulazimu uende na hizo buku tatu za so bora tu uwape chao watu wafaudu mjini..........si unajua tena mkuu
 
mimi nilipima hospitali nyingine na walipokea....halafu kujaziwa hospito ya chuo ni 5000 siku hizi..
 
Kwa maelezo,call,0712336687
 
hiyo admission letter utaipata ukifika chuo,pia kunakuwaga na form kama 3 huwa zinapatikana kwenye website ya chuo uzipitie zina maelezo yatakayokusaidia pia naona ni vema kuprint medical exam form upeleke hospitali ya karibu uende nayo chuo ili uepuke usumbufu wa hospitali ya chuo...
 
Pia usisahau kuja na matakataka yako yote, cheti fom 4,6, zaliwa, kura. Mfungue na acount za benk mapema
 
form utachukua chuoni tarehe 10 september mpaka 1 october form zinatolewa...fika mapema,,ukichukua wajulishe na wenzako
 
sasa inamaana hata watu wa mikoani ni hadi waende Dar? Hawa jamaa wangeweka hii kitu kwenye tovuti yao.
 

.

mail naona inazngua, kulikua na jina la jamaa na kozi yake nime edit out 4 obvious reasons kwenye dash hizo, overall inabidid uwasiliane na m2 wa karibu akuchukulie it's not difficult yeyote 2 anachukua umpe 2 details zako like kozi schools na majina kamili
 
hii ya saint joseph kayumbaa unampa nani sasa...wapatie wenzako wenye tokeo la kulenga kwa manati,,sie wa UDSM hatutaki iyoooo
 
hii ya saint joseph kayumbaa unampa nani sasa...wapatie wenzako wenye tokeo la kulenga kwa manati,,sie wa UDSM hatutaki iyoooo

kaka ungejua nilipo usingeyaongea unayoyasema, na nna uhakika hata 2kireverse adv huwez kufika level h... Anyways 2achane na hayo, nilikua namrekebishia m2 hizo jamaa alivouliza nkakumbuka dr still in my e-mail!! By th way saint kayumba nlitegemea utaita Dom mayb bt St Joseph?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…