Nitapata wapi a psychologist

Usichanganye lugha
 
Mkuu mi mwenyewe nahisi niko kwenye depression
Sema bongo hatuna wataalam kama nchi za wenzetu yaan ningefaa kupata therapy kubwa kabsa.
I
 
niko hapa Psychologist lol,

weka goals ndogo ndogo ambazo ni achievable,ukifanya successful zitakurudishia confidence,

structure your day......kuanzia saa Fulani mpaka saa Fulani niko hapa nafanya kile.....

usikae idle....

Fanya mazoezi ya viungo,utachoka utalala vizuri hutopata muda wa kuanza kuwaza vitu ambavyo vinaku depress,

Mwisho hauko peke yako,one in four people experience mental health difficulties at some point..................just keep on fight
 
Brother, kuna msema unaosema "don't blame the one who pushed you down but Blame yourself for not standing up" kwa hiyo katika maisha tunapitia failures nyingi Sana hivyo hatuna budi kukabiliana na kila jambo linalojitokeza. Pia jifunze kitu kimoja, unaposaidia mtu , usimsaidie ili aje akusaidie Bali saidia kwa sababu umeguswa kufanya hivyo. Watu wengi huwa hawajikubali, kwanza anza kujikubali kwamba wewe ni wewe hakuna mwingine, thamani yako ni kubwa kuliko yule na unaweza ukafanya lolote pale muda utakapokuwa tayari. Epuka kuangalia Fulani amefanya nini na wewe umefanya nini kwa sababu wewe si yeye. Penda muda mwingi kuwa na mtazamo chanya siyo kila jambo unalijengea mtazamo dhaifu hiyo ni hofu. Badili mbinu zako za kukabiliana na changamoto kubwa na ndogo, be solution fucused siyo kila jambo unaliweka kichwani.
 
Jifunze vufuatavo katika maisha yko ya kila cku:-
Usimwamini mtu...
Saidia ukimaliza sepa dnt xpect somethin
Af jifunze kula bata mwenyewe sio zile had uwe na m2 fulan ndio uenjoy...
Kama utashindwa jifunze pia kuwaclass rafik zako ....kuna rafik wa sabab mfano unafanya nae kaz...au umezoeana ...ukampa nafasi kubwa moyon kwako kumbe yye kuna mtu anae mthamin zaidi so utaishia kuumia...
Strategy or method ya kujifunza hayo yote ni kuwabize kupindukia manake unaunyima ubongp kua free...
Trust me utazoea....tu taratibu ukizangatia

Disclamer:all about writen z from my personal xprience m not pro or pyscologist.
 
this is very true. Ni kama umenielewa 100% of what I'm going thru
 
asante sana kwa ushauri kaka. it means a lot. ubarikiwe.
 
asante sana dada!
 

Beautiful.... Nami pia nimejifunza kitu hapa.
 
La kwanza na kubwa ni kutambua kuwa una Tatizo, this is done! Next, Soma Sana motivational speech, watch motivational videos, Soma vitabu vya kukufanya Uwe motivated. Una lack motivation only that, ukioona success stories utaona watu walisimama wakaanguka, wakasimama, wakaanguka lakini hawakukata tamaa.

Ingia YouTube Tafuta motivational speech kuna jamaa anaitwa Erick au E. T anakwambia make sure it hurts....

The moment inapokuumiza ujue ndio mafanikio yanakaribia. Jishushe, don't expect too much lakini weka both possibilities kuwa Naweza kufeli pia. Zipo nyiingi Sana za kukufanya uyaone maisha in a different angle.
 
Hebu sherehekea hizo kwanza, Ukitaka nyingine nambie.... Lazima ufurahi. Mimi nimeshazoea Usiku kabla ya kulala nitazisoma kadhaa, nitasali nitalala.
 
Kila kitu kipe muda yaaani give it Time, la pili RELAX Yaani tulia, fikiria huku umetulia, Jifikirie wewe zaidi kuliko mwingine Kama ulivyosema kuwa Unashindwa kufanya jambo lakini mwingine anakuja analifanya, well and good. Mfuate Muulize aliwazaje, TRUST yourself, ila sio over confidence. Pumzika, Pumzika Sio Bar Hapana, sometimes safiri, kakae ufukweni, nenda kawinde Z nenda shamba, nenda ibadani. Binafsi when I am stressed huwa napenda ku-drive Nje ya Dar for some hours au nakwenda Shamba, nazima simu Nafanya kazi zangu hadi jioni. Je, unapendelea nini? Sometimes naweza kufanya late night driving Yaani nitoke niende Ubungo, Mwenge, Posta, Ilala then Mbezi Just like that....

Aaaghh relax bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…