Mke wangu aliugua U.T.I kwa muda wa miaka miwili mfululizo , kila tukienda hospital ipo tu mwisho wa siku nikahisi labda ana P.I.D lakini walivyompima wakasema ni U.T.I tu.
Mwaka huu mwezi wa pili kuna sheikh nilimkuta anauza dawa za kisunna maeno ya Mbagala Rangi tatu ila sikumbuki bei ya zile dawa aliniuzia chupa tatu kwa maelezo yake hiyo ndio dozi kamili unachanganya kwenye maji ya uvuguvugu na hiyo dawa inakuwa kwenye ujazo wa kijiko kimoja cha chai.
Alivyomaliza kunywa ile dawa alienda kupima tena nashukuru mpaka leo imebaki historia tu kuwa alikuwa na huo ugonjwa. Dawa inaitwa HASWA amepona kabisa wakati power cafe ilishindwa kazi na zile dawa hata elfu 20 haikufika.