Nitapata wapi hivi vitu?

Guru Master

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
226
Reaction score
594
Naombeni msaada wenu wadau kuna mdogo wangu anahitaji hivi vifaa.... Plates za mazoezi zinazotengenezwa na vijana wetu wa hapa hapa bongo.

Huwa uzito kwa plate moja ni kg 10-15. Hata kama zimetumika haina shida. Tuwasiliane please.
 
Kuna jamaa alikua anayabeba hayo madude alafu akawa anashindia mihogo ya kukaanga na kachumbari....
Alicho kipata ni alianza kuharisha damu hadi akarest.i.p
 
Mwenye akili hawezi kutafuta kitu ambacho anacho. Ni mpumbavu hufanya hivyo. Ila wengi ndo hutafuta kitu ambacho hawana.
Tafuta pesa ndugu yangu acha kuumiza mwili, ni bora ufanye zoezi la kukimbia ni salama zaidi kuliko hayo MACHUMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…