Nitapata wapi kadi ya uanachama wa CHADEMA?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Kwa kweli nafuatilia mkutano wa hawa jamaa,wako smart and organised.

Sio ule mkutano wa show offs za vijisanii uchwara uliofanyika huko dodoma.

Kwa kweli nimepita hapo mtaani muda wa lunch naona wananchi wengi wanafuatilia huu mkutano na wengi naona wana bashasha usoni.

Hivyo naomba namna ya kupata kadi ya uanachama wa chadema.
 
Kesho tena ukisikia sera za chauma chama cha wala ubwabwa utaomba kadi pia!. kila chama ni kizuri lkn kujua ni mpaka kikufikie!
 
Kwa kweli nafuatilia mkutano wa hawa jamaa,wako smart and organised.
Sio ule mkutano wa show offs za vijisanii uchwara uliofanyika huko dodoma.
Kwa kweli nimepita hapo mtaani muda wa lunch naona wananchi wengi wanafuatilia huu mkutano na wengi naona wana bashasha usoni.
Hivyo naomba namna ya kupata kadi ya uanachama wa chadema.
tulia kwanza matokeo yatoke furaha yako itimilike, utaliona tu tawi lao mtaani ukajiunge huko
 
Kwa kweli nafuatilia mkutano wa hawa jamaa,wako smart and organised.
Sio ule mkutano wa show offs za vijisanii uchwara uliofanyika huko dodoma.
Kwa kweli nimepita hapo mtaani muda wa lunch naona wananchi wengi wanafuatilia huu mkutano na wengi naona wana bashasha usoni.
Hivyo naomba namna ya kupata kadi ya uanachama wa chadema.
Subiri kwanza usiwe na haraka mpaka Tundu Lissu atangazwe mwenyekiti mpya kinyume na hapo usiombe kadi ya uanachama chini ya uongozi wa team FAM kwa sababu utakuwa huna tofauti na mwanachama wa TLP, NCCR, CUF, CHAUMA na CCJ. Kama uhuni utafanyika ikipita team FAM basi Chadema inaenda kusambaratika zaidi kuliko TLP, NCCR, CUF, CHAUMA na CCJ.
 
Back
Top Bottom