Mimi ni chaumaJikite kwenye hoja.
tulia kwanza matokeo yatoke furaha yako itimilike, utaliona tu tawi lao mtaani ukajiunge hukoKwa kweli nafuatilia mkutano wa hawa jamaa,wako smart and organised.
Sio ule mkutano wa show offs za vijisanii uchwara uliofanyika huko dodoma.
Kwa kweli nimepita hapo mtaani muda wa lunch naona wananchi wengi wanafuatilia huu mkutano na wengi naona wana bashasha usoni.
Hivyo naomba namna ya kupata kadi ya uanachama wa chadema.
Subiri kwanza usiwe na haraka mpaka Tundu Lissu atangazwe mwenyekiti mpya kinyume na hapo usiombe kadi ya uanachama chini ya uongozi wa team FAM kwa sababu utakuwa huna tofauti na mwanachama wa TLP, NCCR, CUF, CHAUMA na CCJ. Kama uhuni utafanyika ikipita team FAM basi Chadema inaenda kusambaratika zaidi kuliko TLP, NCCR, CUF, CHAUMA na CCJ.Kwa kweli nafuatilia mkutano wa hawa jamaa,wako smart and organised.