Nitapata wapi kamba za Katani kwa kilo?

Nitapata wapi kamba za Katani kwa kilo?

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
5,936
Reaction score
4,707
Habari Wakuu, naomba nisaidiwe wapi nitapata kamba za Katani kwa uwingi na bei ya jumla..

Najua zinapatikana kwenye hardwares lakini mimi mahitaji yangu ni makubwa hivyo ningependa kuzinunua either kiwandani au kwa wholesalers..

Asanteni!!
 
Back
Top Bottom