Steph Curry JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 5,936 Reaction score 4,707 May 30, 2021 #1 Habari Wakuu, naomba nisaidiwe wapi nitapata kamba za Katani kwa uwingi na bei ya jumla.. Najua zinapatikana kwenye hardwares lakini mimi mahitaji yangu ni makubwa hivyo ningependa kuzinunua either kiwandani au kwa wholesalers.. Asanteni!!
Habari Wakuu, naomba nisaidiwe wapi nitapata kamba za Katani kwa uwingi na bei ya jumla.. Najua zinapatikana kwenye hardwares lakini mimi mahitaji yangu ni makubwa hivyo ningependa kuzinunua either kiwandani au kwa wholesalers.. Asanteni!!
Silas Furniture JF-Expert Member Joined Apr 29, 2018 Posts 246 Reaction score 137 May 30, 2021 #2 Steph Curry said: Habari Wakuu, naomba nisaidiwe wapi nitapata kamba za Katani kwa uwingi na bei ya jumla.. Najua zinapatikana kwenye hardwares lakini mimi mahitaji yangu ni makubwa hivyo ningependa kuzinunua either kiwandani au kwa wholesalers.. Asanteni!! Click to expand... Ingia muheza kipo kiwanda hapo hata ukitaka meli nzima watakupatia
Steph Curry said: Habari Wakuu, naomba nisaidiwe wapi nitapata kamba za Katani kwa uwingi na bei ya jumla.. Najua zinapatikana kwenye hardwares lakini mimi mahitaji yangu ni makubwa hivyo ningependa kuzinunua either kiwandani au kwa wholesalers.. Asanteni!! Click to expand... Ingia muheza kipo kiwanda hapo hata ukitaka meli nzima watakupatia
Steph Curry JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 5,936 Reaction score 4,707 May 30, 2021 Thread starter #3 Silas Furniture said: Ingia muheza kipo kiwanda hapo hata ukitaka meli nzima watakupatia Click to expand... Ziko processed au ni zile nyuzi nyuzi tu?? Pls unaweza nitajia jina la kiwanda nijaribu kuwatafuta mitandaoni??
Silas Furniture said: Ingia muheza kipo kiwanda hapo hata ukitaka meli nzima watakupatia Click to expand... Ziko processed au ni zile nyuzi nyuzi tu?? Pls unaweza nitajia jina la kiwanda nijaribu kuwatafuta mitandaoni??
ismail hassan JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 696 Reaction score 1,629 Oct 10, 2021 #4 Ulifanikiwa? Sent using Jamii Forums mobile app
Jamsojamaal Member Joined Jul 13, 2022 Posts 23 Reaction score 6 Jul 19, 2022 #5 Habari kama bado una uhitaji wa hizi kamba tuwasiliane.