N nsami Senior Member Joined Jun 11, 2010 Posts 175 Reaction score 8 May 21, 2013 #1 Wakuu habari? Naombeni msaada, kwa Arusha au maeneo ya jirani ni wapi nitapata kipimo cha allergy? Mchana mwema.
Wakuu habari? Naombeni msaada, kwa Arusha au maeneo ya jirani ni wapi nitapata kipimo cha allergy? Mchana mwema.
Isaac Chikoma JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 475 Reaction score 101 May 21, 2013 #2 Nenda moshi mkuu ndio kuna hicho kipimo ymca nafkiri.
N nsami Senior Member Joined Jun 11, 2010 Posts 175 Reaction score 8 May 21, 2013 Thread starter #3 Isaac Chikoma said: Nenda moshi mkuu ndio kuna hicho kipimo ymca nafkiri. Click to expand... Ahsante mkuu, vipi ratiba yao? siku yoyote naweza kupata huduma?
Isaac Chikoma said: Nenda moshi mkuu ndio kuna hicho kipimo ymca nafkiri. Click to expand... Ahsante mkuu, vipi ratiba yao? siku yoyote naweza kupata huduma?
Isaac Chikoma JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 475 Reaction score 101 May 21, 2013 #4 M.M Nkunya said: Ahsante mkuu, vipi ratiba yao? siku yoyote naweza kupata huduma? Click to expand... sina uhakika sana ila siku za kazi watakuwa wanapatikana.
M.M Nkunya said: Ahsante mkuu, vipi ratiba yao? siku yoyote naweza kupata huduma? Click to expand... sina uhakika sana ila siku za kazi watakuwa wanapatikana.