Nitapata wapi kozi ya uuzaji wa madawa ya binadamu?

Nitapata wapi kozi ya uuzaji wa madawa ya binadamu?

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2016
Posts
2,097
Reaction score
1,457
Wandugu, naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Nimesoma masomo ya Biology na chemistry kisha nikasoma kozi za uhifadhi wa maliasili, kwa kozi hii mambo hayaeleweki.

Natamani nipate kozi fupi ya uuzaji wa madawa, wanajamvi nisaidieni niwapi hii kozi inatolewa
 
Nipo mkoa wa Mara, nipo tayari kwenda popote ilimradi nifanikowe
 
Back
Top Bottom