Wandugu, naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimesoma masomo ya Biology na chemistry kisha nikasoma kozi za uhifadhi wa maliasili, kwa kozi hii mambo hayaeleweki.
Natamani nipate kozi fupi ya uuzaji wa madawa, wanajamvi nisaidieni niwapi hii kozi inatolewa