Nitapata wapi 'lava za soldier flies' kwa ajili ya kuku?

Nitapata wapi 'lava za soldier flies' kwa ajili ya kuku?

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
2,926
Reaction score
3,530
Naombeni utaalamu wa kufuga hawa wadudu. Je, Kuna mtu humu alishawahi kujaribu kufuga?

images%20(12).jpg
 
Ingia Google Mkuu Andika kwa Kiswahili tu jamaa wanaelewa.
 
Mkuu nitafute kama uko serious, na sio uje na story za ngoja nikajipange mara najiandaaa.

BSFL ili uwapate lazima uwe na nzi Chuma, Nzi Chuma ndo hasa wanao taga mayai ili kupata Funza.

Sasa kama huwezi pata nzi Chuma maana yake unapaswa kununua mayai ya nzi chuma kutoka kwa wazalishaji au ukanunua Larvae.

Ukinunua larvae maana yake baada ya siku kadhaa watabadilika watakuwa Fly na watataga mayai na utapata larvae tena so unatengeneza cycle.

KARIBU
Naombeni utaalamu wa kufuga hawa wadudu. Je, Kuna mtu humu alishawahi kujaribu kufuga?

View attachment 1498601
 
Back
Top Bottom