Ozzie JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 3,217 Reaction score 1,261 Jun 11, 2011 #1 Nataka kununua mapazia ambayo yanatengenezwa kwa materials fulani zilizofanywa kama strips. Yamekuwa yanatumika katika ofisi nyingi. Bahati mbaya sijui nitayapata wapi, na hata jina lake silijui...
Nataka kununua mapazia ambayo yanatengenezwa kwa materials fulani zilizofanywa kama strips. Yamekuwa yanatumika katika ofisi nyingi. Bahati mbaya sijui nitayapata wapi, na hata jina lake silijui...
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 791 Jun 11, 2011 #2 Unamaanisha blinds ama?
Mlabondo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2010 Posts 224 Reaction score 129 Jun 13, 2011 #3 Mlimani city