Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Mnofungulisha hua mnakauli mbaya kwa wateja sijui kwa upande wako ipojeMabalo ya mtumba yanapatikana mnazi mmoja Dar, mi pia ndo nakochulia uko. Na pia kwa wakazi wa morogoro NAWAKARIBISHA dukan huwa nafungua a balo za jumpsuit, jeans, cotton blouse, shifon blouse wale wa kupoint karibuni.
Wanauzaje na balo ukubwa wake jeKuna sehemu nachukuliaga pale mnaz hawajawahi niangusha japo bei zao mkasi ila pesa inatoka na faida nzuri tu. Ila mie na base na nguo za watoto tu.
WanauzajeKg 45
Piece ngapi za nguo za watoto humo zinatoka mkuuKg 45