Nitapata wapi pills za kupunguza uzito

Nataka anaejua phentermine zilipo
 
Acha bia na kitimoto. Vidonge havitasaidia na huku unaendelea kufukia.
 
Nenda kkoo kuna duka moja pale sijawahi ona kuna dawa wanakosa sema mtaa na jina la duka limenitoka kidogo mkuu" nikipata baadhi ya risti nitaweka jina hapa

Na hakika hutokosa hiyo dawa pale na hakikisha uko na prescription kutoka kwa daktari....

Goodluck
 
Punguza kula vyakula vya wanga + sukari. Hizo quick fixes za kupunguza uzito hazijawahi muacha mtu salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…