M MwendaOmo JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 774 Reaction score 723 Jul 22, 2022 #1 Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania angalia uzi huu Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania
Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania angalia uzi huu Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,623 Reaction score 13,759 Jul 22, 2022 #2 Ww ulizonazo ni zipi ?? Endelea kusubiria wenye nazo
GEjr Member Joined Jul 23, 2022 Posts 6 Reaction score 0 Jul 23, 2022 #3 Bado Kuna uwezekano Wa kuunda riwaya nzuri kama hizo za Zamani, Kwa sababu una A_ B _.... Kuhusu riwaya hizo Unaweza ukaandaa mpya.
Bado Kuna uwezekano Wa kuunda riwaya nzuri kama hizo za Zamani, Kwa sababu una A_ B _.... Kuhusu riwaya hizo Unaweza ukaandaa mpya.
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Jul 23, 2022 #4 https://www.jamiiforums.com/threads/vitabu-vya-shaaban-robert.1970786/#post-42169281
C clinician JF-Expert Member Joined Mar 5, 2014 Posts 2,098 Reaction score 4,926 Aug 6, 2022 #6 zipo humu jf.
Geeymom Member Joined Dec 29, 2022 Posts 10 Reaction score 42 Apr 13, 2023 #7 MwendaOmo said: Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Click to expand... Attachments MAAJABU YALIYOWAPATA ALLAN QUAT.pdf MAAJABU YALIYOWAPATA ALLAN QUAT.pdf 680.6 KB · Views: 51
MwendaOmo said: Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Click to expand...