Mbayo wa Giika
JF-Expert Member
- Apr 9, 2014
- 205
- 107
Wadau wa biashara ya samaki naombeni msaada wenu. Ninataka kuanzisha bucha la samaki lakini kuna mambo kadhaa sijapata taarifa zake kamili hivyo naombeni msaada wenu.
1. Ninaweza kuwapata wapi kwa jiji la Dodoma?
2. Ni vibali (nyaraka) gani natakiwa kuwa nazo kufungua bucha hili?
Ahsanteni na karibuni.
1. Ninaweza kuwapata wapi kwa jiji la Dodoma?
2. Ni vibali (nyaraka) gani natakiwa kuwa nazo kufungua bucha hili?
Ahsanteni na karibuni.