N nyumbamungu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 1,033 Reaction score 895 Apr 5, 2020 #1 Nimepata wateja wa Sanitizer "kitakasa mikono" wanaoishi kwenye Apartment zilizokaribu na kijiwe changu, hivyo naulizia wapi naweza pata yenye ujazo wa lita 5 halafu niweke kwenye ujazo wa 500 ml kushuka chini. Hiyo lita 5 inauzwa kwa bei gani?
Nimepata wateja wa Sanitizer "kitakasa mikono" wanaoishi kwenye Apartment zilizokaribu na kijiwe changu, hivyo naulizia wapi naweza pata yenye ujazo wa lita 5 halafu niweke kwenye ujazo wa 500 ml kushuka chini. Hiyo lita 5 inauzwa kwa bei gani?