Wadau habari zenu,
Nina hitaki sofa classic za ngozi ziwe zinauwezo wa kubinuka mfano pale unapotaka kulala unaikunjua kama siti ya gari una lala na baadae unairudishia kama ilivyokua ...kama kunsmtu anafaham utaratibu wowote wa kuzipata nitafurahi hatakama ni kuagiza nje ya nchi nipo tayari
Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote mtakao shiriki.