Nitapata wapi spare za DT Yamaha hapa Dodoma?

Nitapata wapi spare za DT Yamaha hapa Dodoma?

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
Naam kwa wakazi wa Dodoma naomba mnisaidie na hili. Nahitaji kununua spare kadhaa za pikipiki yangu Yamaha DT 125, je, nitapata duka lipi apa Dodoma mjini?
 
Hii bike hata mimi ninayo lakn spare hasa mikoani hia ni kizungumkuti.
Nliwahi kuulizia dodoma nkaambiwa mostly hua wanaagiza dar
 
Back
Top Bottom