I Idrissou02 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2018 Posts 354 Reaction score 656 Dec 21, 2022 #1 Naam kwa wakazi wa Dodoma naomba mnisaidie na hili. Nahitaji kununua spare kadhaa za pikipiki yangu Yamaha DT 125, je, nitapata duka lipi apa Dodoma mjini?
Naam kwa wakazi wa Dodoma naomba mnisaidie na hili. Nahitaji kununua spare kadhaa za pikipiki yangu Yamaha DT 125, je, nitapata duka lipi apa Dodoma mjini?
M masafi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 707 Reaction score 673 Dec 24, 2022 #2 Spea gani kwa mfano?
Bangida JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 2,406 Reaction score 11,258 Dec 25, 2022 #3 Hii bike hata mimi ninayo lakn spare hasa mikoani hia ni kizungumkuti. Nliwahi kuulizia dodoma nkaambiwa mostly hua wanaagiza dar
Hii bike hata mimi ninayo lakn spare hasa mikoani hia ni kizungumkuti. Nliwahi kuulizia dodoma nkaambiwa mostly hua wanaagiza dar