Sonrisa ojos New Member Joined Apr 9, 2019 Posts 3 Reaction score 9 Apr 9, 2019 #1 wana JF naomba kuuliza naweza pata wapi vifaa vya kupimia HIV je naweza kuvinunua? ni shillingi ngapi? nitavinunua wapi?? nataka niwe najipima kila siku nijue afya yangu
wana JF naomba kuuliza naweza pata wapi vifaa vya kupimia HIV je naweza kuvinunua? ni shillingi ngapi? nitavinunua wapi?? nataka niwe najipima kila siku nijue afya yangu
KAJOKELA Senior Member Joined Jul 3, 2018 Posts 155 Reaction score 74 Apr 10, 2019 #2 Nenda kapime hospital tena bure kabisa Sent using Jamii Forums mobile app