Nitapataje mke wa kuoa?

Nitapataje mke wa kuoa?

Joined
Apr 28, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Mimi ni ni kijana, nina miaka 25 mwanafunzi wa mwaka wa kwanza,nahtaji msichana wa kuchumbia mwenye sifa zote za uafrika! Ombi kwenu wana jamvi, nitatumia njia gani kumpata? Msaada tafadhari!
 
Sasa kaka kama upo mwaka wa kwanza, ukichumbia na kuoa mtakula nini?

Au nyinyi ndio mnasoma huku mnafanya kazi / biashara..

Maana mapenzi bila pesa yana changamoto nyingi sana
 
Back
Top Bottom