K KITUNZI MASABO Member Joined Apr 28, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Aug 4, 2013 #1 Mimi ni ni kijana, nina miaka 25 mwanafunzi wa mwaka wa kwanza,nahtaji msichana wa kuchumbia mwenye sifa zote za uafrika! Ombi kwenu wana jamvi, nitatumia njia gani kumpata? Msaada tafadhari!
Mimi ni ni kijana, nina miaka 25 mwanafunzi wa mwaka wa kwanza,nahtaji msichana wa kuchumbia mwenye sifa zote za uafrika! Ombi kwenu wana jamvi, nitatumia njia gani kumpata? Msaada tafadhari!
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,410 Reaction score 8,184 Aug 4, 2013 #2 Sasa kaka kama upo mwaka wa kwanza, ukichumbia na kuoa mtakula nini? Au nyinyi ndio mnasoma huku mnafanya kazi / biashara.. Maana mapenzi bila pesa yana changamoto nyingi sana
Sasa kaka kama upo mwaka wa kwanza, ukichumbia na kuoa mtakula nini? Au nyinyi ndio mnasoma huku mnafanya kazi / biashara.. Maana mapenzi bila pesa yana changamoto nyingi sana