Nitapataje msaada wa kusoma Masters degree

Kwa lengo la kuongeza utaalam wa fani yangu mkuu

Huo utaalam wa Bachelors degree umeshautumia wote mpk ukaona hautoshi? Ama kuna vitu vipya ambavyo huwezi mpk usome masters?

Anyway nisiongee sana, jaribu kuomba ualim wa vyuo una min qaulification huko vyuoni watakupa mbinu za kusoma masters
 
Mkuu hapa najaribu kukidhi kiu yangu sio kwamba nasema sijatosheka ila dream yang ni masters maana na kingine niko idle tangu nimemaliza chuo mwezi july hivyo naona umuhimu wa kutafuta shule ili hata mda wang usipotee na malengo yangu yatimie

Okay okay sawa sawa hope utapata tu
 
Mkuu hapa najaribu kukidhi kiu yangu sio kwamba nasema sijatosheka ila dream yang ni masters maana na kingine niko idle tangu nimemaliza chuo mwezi july hivyo naona umuhimu wa kutafuta shule ili hata mda wang usipotee na malengo yangu yatimie

Kiu yako ni masters au uelewa? Just utililize what u hav today before u demand more. Hivi unaamini masters ndo itakuweka fit zaidi au kwasababu profession yako bila kufika hatua hiyo basi. We sio msomi. ? Nenda ukafanye mitihani ya bodi ukifahuru jua na masters utaiweza.
 
Mkuu mbona unaleta malumbano km ni ngumu kunishauri namna ya kusoma masters scroll page tu mi cjui siasa. Samahani km nimekukwaza
 
Mkuu mbona unaleta malumbano km ni ngumu kunishauri namna ya kusoma masters scroll page tu mi cjui siasa. Samahani km nimekukwaza

Mkuu wewe niwale vilaza wa division 5 unataka ushauri unapewa kichwa chako hakielewi
 
Mkuu wewe niwale vilaza wa division 5 unataka ushauri unapewa kichwa chako hakielewi

Utakua mdaku ww sasa huo ndo ushauri ninaohitaji?? Umesoma ukaelewa ushauri ninaohitaji acha kuleta ujuaji nahisi ww ni mburula tu unaogopa shule kila mtu ana interest zake usikurupuke.
 
Utakua mdaku ww sasa huo ndo ushauri ninaohitaji?? Umesoma ukaelewa ushauri ninaohitaji acha kuleta ujuaji nahisi ww ni mburula tu unaogopa shule kila mtu ana interest zake usikurupuke.

kweli umepewa ushauri.ila hujaelewa wanachokiongea watu.ingetakiwa urgue intellectual unakimbilia master hela ya kusomea hiyo master huna kwa nn usitumie hiyo 1st kwanza
 
kweli umepewa ushauri.ila hujaelewa wanachokiongea watu.ingetakiwa urgue intellectual unakimbilia master hela ya kusomea hiyo master huna kwa nn usitumie hiyo 1st kwanza

Ushauri sio kitu kibaya ila mtu anaposhauri sio lazime aniite kilaza mtu ashauri bila matusi vinginevyo jf ikiendelea hivi itakua km mitandao ya kihuni.
 
Hawa ndio wasomi tunataraji walete mapinduzi nchi hii. Yaani umesoma una bachelor degree hujui la kufanya upo upo tuuu. Dunia huko kuna scholarship mia kidogo omba kasome duniani huko....
 
Wanajamvi naomba ushauri wenu leo, mimi nimehitimu degree ya kwanza chuo kikuu cha Dsm. Nina GPA ya 3.8 nilisoma BSc. ya mambo ya mazingira, nitawezaje kupata msaada wa kusoma masters hali yang kiuchumi siwezi kujisomesha msaada tafadhali

umejaribu kuongea na Accademic Supervisor wako? au mlikuwa kama chui na paka? Fanya hivyo naamini atakuwa msaada kwako! ila jaribu kutuliza akili kabla ya kufanya Msc.
 
Omba scholarship zipo nyingi sana. Usiwe mvivu. Ingia mitandaoni pia waone academic supervisors wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…