Nitapataje namba ya kampuni ya kufanyia malipo kwenye mitandao ya sim

Nitapataje namba ya kampuni ya kufanyia malipo kwenye mitandao ya sim

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
697
Reaction score
1,474
Hellow bosses i hope mpo poa
kwa anae fahamu njinsi au namna gani naweza kupata namba ya kampuni ya kufanya malipo kupitia mitandao ya sim
mfano namba ya kampuni ya mbet kwenye mitandao ya sim ni "555 333" hii namba( ya mfano sio yenyewe) inatumika kulipia mkeka na mtu kudeposit hela kwenye A/c ya mbet
Naomba kujia njinsi na garama za kuipata kwa anaefahamu
 
Back
Top Bottom