Nitapataje nyimbo za 'Less Wanyika'?

Nitapataje nyimbo za 'Less Wanyika'?

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,420
wakuu nimemkumbuka sana mtu anaitwa willson peter na mdogo wake george peter na bendi ya less wanyika
kwa kweli ningefurahi sana kama ningeweza kuonyeshwa jins ya kudownload miziki yao
 
Kama upo Dar, nenda mtaa wa aggrey utazipata kwa wanao Burn cd tena utapate MP3 kwa 3000tu, wanakuwepo ktk colidor za wauzaji wa simu.
 
Tafuta Bearshare install hiyo kwenye pc yako na utaweza kutafuta na kudownload muziki wowote unaoutaka kama ukipatikana bila shida.
 
Back
Top Bottom