Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kutokana na kuonekana mzee, madaktari vishoka wamenishauri nipunguze au niache kunywa pombe kwa sasa ili mwili uweze kujijenga vizuri, na kurudi utotoni.
Sasa, nina mwezi mmoja nipo ugenini na ninaishi kibachela; wapenzi wangu wote wapo mbali, na wkend ndio inaanza; na mimi ni mtu wa vibe wa kwenda viwanja.
Sasa kuna kiwanja nataka nikakitembelee leo, angalau nioshe macho na pia nipate mrembo machachari ambaye atakuwa mwenyeji wangu wa kunipa abc namna ya kupata furaha nikiwa hapa duniani.
Sasa najiuliza, nitawezaje kukaa muda wote huko, huku nikinywa maji tu? Si watoto wazuri wataniona mimi ni kibwengo, na watanikimbia?
Nipeni mbinu za kivita wakuu, kunywa maji kwa masaa 5 inachosha wakuu achiliambali kutokuwa na vibe.