kamandamchovu
Member
- Feb 5, 2017
- 19
- 10
Kama nimemuelewa vizuri sio usafiri tu ni kwamba hata kitu cha muhimu zaid "Soko" hana, kama una uwezo wa kumsaidia mawasiliano ya hao wafanya biashara wa Nairobi na huko kwingine ungemsaidia, atengeneze soko, pili ndio aende hapo tarakeaningekushauri hivi, tafuta siku ufunge safari hadi tarakea(rombo) ni mpakani wa boda ya kenya na tz. Ndio mpaka mzuri wa kuingizia au kuuliza maswali yote kuhusu jinsi ya kupeleka mazao kenya. Ningekusaidia ila kw sasa hivi nilishahamia kwa trump huku, miaka kadhaa imepita nilikuwa napeleka tandam zima la kitunguu kila wiki nairobi ama nyeri kulingana na bei. fika pale utasaidika bro
Asante sana broo....!!ningekushauri hivi, tafuta siku ufunge safari hadi tarakea(rombo) ni mpakani wa boda ya kenya na tz. Ndio mpaka mzuri wa kuingizia au kuuliza maswali yote kuhusu jinsi ya kupeleka mazao kenya. Ningekusaidia ila kw sasa hivi nilishahamia kwa trump huku, miaka kadhaa imepita nilikuwa napeleka tandam zima la kitunguu kila wiki nairobi ama nyeri kulingana na bei. fika pale utasaidika bro
Kweli mzee ..nashukuru umenielewaKama nimemuelewa vizuri sio usafiri tu ni kwamba hata kitu cha muhimu zaid "Soko" hana, kama una uwezo wa kumsaidia mawasiliano ya hao wafanya biashara wa Nairobi na huko kwingine ungemsaidia, atengeneze soko, pili ndio aende hapo tarakea
ngoja na mm nitie timu hapa, manake nafanya mambo haya haya , soko DSM linatunyoosha sio kidogo...
0755 919 857....nakulink na huyu jamaa anasafirishaga shehena ya bidhaa tokea mwanza hadi Kenya kwa zaidi ya miongo kadhaa. Ana uzoefu wa kutosha.Sijawahi fanya biashara ya kuvuka boda, sasa nataka nisafirishe mazao yangu nijaribu na soko la Kenya kama naweza kupata angalau faida maana huko Dar madalali hawana huruma na mtaji wangu.
Mwenye uzoefu wa ninachotaka kukifanya NAOMBA ANISAIDIE TAFADHALI
Asante sana ndugu....mungu akubariki0755 919 857....nakulink na huyu jamaa anasafirishaga shehena ya bidhaa tokea mwanza hadi Kenya kwa zaidi ya miongo kadhaa. Ana uzoefu wa kutosha.
Hopefully atakuwa msaada zaidi kwako.
Naamini wewe sio mgeni kwenye biashara... uangalifu kitu cha muhimu sana,Asante sana ndugu....mungu akubariki
TrueeeeeeeNaamini wewe sio mgeni kwenye biashara... uangalifu kitu cha muhimu sana,
Rule number one... Usimwamin mtu yeyote yule... utakuja jikuta mweupe