Pre GE2025 Nitashangaa endapo CHADEMA watashiriki chaguzi zijazo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watashiriki kwani si kweli...tume si ileile..."TUME YA UCHAGUZI".

Hii inaitwa TUME HURU YA UCHAGUZI...
 
Katiba Ile Ile, tume Ile Ile, wakurugenzi wale wale wa 2020, mnategemea miujiza?
Chadema walisema haeatashiriki uchaguzi kama Tume ni ile ile, walisema wanataka Tume Huru ya Uchaguzi. Sasa Tume ya Uchaguzi imeisha badilishwa jina, zamani ilikuwa inaitwa Tume ya Uchaguzi NEC, sasa imebadilishwa jina inaitwa Tume Huru ya Uchaguzi, hivyo Chadema watashiriki Uchaguzi.
P
 
Bon Yai ndo kawashauri?
 
Katiba Ile Ile, tume Ile Ile, wakurugenzi wale wale wa 2020, mnategemea miujiza?
Hapo ushafanya ngono.... umeshiba hadi unajamba hovyo umeshika simu kuandika upumbavu!! CHADEMA wasiooshiriki chaguzi ndo hiyo katiba na mifumo bora ya utawala itakuja? Watanzania wapumbavu sana.
 
Uzuri mifumo huru ya kidemokrasia huenda mbali zaidi ya wanaoonekana kuonewa(upinzani)

Mifumo hii ina faida hata ndani ya CCM maana 2020 Furaha Dominic asingewadhalilisha vile kwenye kura za maoni kama kungekua na demokrasia ya kueleweka!! Watanzania wengi nje ya ngono na ulevi hamna akili ya kuwaza mbali.
 
Katiba Ile Ile, tume Ile Ile, wakurugenzi wale wale wa 2020, mnategemea miujiza?
Uko sahihi, sasa wafanye nini? Wakisusa/tukisusa CCM wanashangilia kama walivyo peke yao serikalini/bungeni. Unapendekeza nini?

I reserve my proposed wayout!
 
Hata tabia ya kususasusa si nzuri maana ukisusa wengine wanakula unabaki na njaa kama hakuna namna nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…