Nitashangaa TFF msipomchukulia hatua Manara

Manara ni mpumbafu ndio kwani uongo? Zahera ana kosa gani angekua ni mtanzania anafanya hayo kweli tungestuka sasa jitu linaonekana wazi ni papaa linakupa shida ya nini kama sio upumbavu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata angekuwa ni Mtanzania hiyo ni haki yake,hakuna sehemu yoyote kwenye katiba inayokataza mtu kushangalia au kuipa ushirikiano club uipendayo,kama ingekuwa Taifa Stars hapo ndio pangekuwa na walakini. Massoud na Niyonzima walipoenda Serena Hotel kwenye kambi ya Rayon dhidi ya Yanga hakuna mwanaYanga hata mmoja alienyanyua bakuli na kupayuka kama huyu Mzungu fake wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiku lazima mtiwe vidole vya nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ulivyotiwa kile kimoja cha nguruwe watoto buku na MK14 kila mnayemshobokea anatiwa,, Nyie mlishindwa kujisaidia leo hii ndo msaidie wakongo?? Wacongo tumewapa ulinzi dhidi ya M23,na waasi wa Mai mai halafu waje kwetu watufunge eboo! Mechi ishaisha mzee wangu Juzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila tuache unafki Mkuu, kwa sababu alizotoa Zahera kuonekana karibu na As Vita huoni kwamba Manara ni mpumbavu kweli?
 
Yanga kwa ujinga mko vizuri. Kuna sheria na legitimacy. Zahera ana kibali cha kukochi Yanga. Anaishi hapa kwa sababu hiyo. Ameiiakacha timu yake yenye njaa ikienda kinyonge Iringa akisema anaenda Congo halafu anaonekana bado Dar na maadui wa Taifa kwa leo. Ni sawa na kuwa malaya kisheria sio kosa ila on the other side ni UMALAYA. Huyo ndio Zahera. TFF mfukuzeni huyu Zahera hana maadili. Kumbafu.
 
Haji ni kichaa

Kwa hiyo mimi ningekuwa hakimu ningemwambia Zahera asishughulike naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani jifunze kujenga hoja basi.
Tukutane SAA moja kwa mchina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Mpumbavu ni tusi?

Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu ya TUKI ilichapishwa na Oxford toleo la 3, maana ya Mpumbavu ni mtu anayeshindwa kuelewa jambo hata akielezwa.

Ukimuangalia Manara hii sifa anayo. Hajatusiwa bali kavikwa uhusika wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…