Nitasimama na SIMBA yangu daima


Sina Mashaka Yoyote Na Simba Yote Heri

Simba Sports Club
One Team, One Dream






Simba Nguvu Moja!!
 


Sina Mashaka Yoyote Na Simba Yote Heri

Simba Sports Club
One Team, One Dream






Simba Nguvu Moja!!
Wakati mwingine inabidi tu ufe kidogo ndani ili kuzaliwa upya na kuinuka tena kama toleo lenye nguvu na la busara zaidi kwako.
 
Naanza kuelewa kwanini Simba na matunguli ni uji na mgonjwa😊😊😊
 
Asante Kwa kunitia moyo mi
Mimi binafsi nasema Asante Kwa kunitia moyo
 
Dah sawa ndugu
Utabaki moyoni mwangu Simba ijapokuwa huzuni basi nitalia nawe ijapokuwa furaha nitacheka na wewe.
 
Umeandika kwa hisia kweli. Pole sana. Mpaka unaniliza na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…