Nitasimama na SIMBA yangu daima

Broo kuna mvurugano wa viongozi pale klabuni,kuna watu wasaliti pale...inshu ya ule uchaguzi imeibua madudu mengi sana! Kuna watu wamesusa.
Hakuna panapokosa changamoto kikubwa ni namna ya kuzitatua Mshuza.. Hili nalo litapita
 
Thimba guvu moya Mwamedi FC Pusha FC.
 
Mpira pesa na mipango...

Ukiona jahazi linaenda mrama ujue kimojawapo au vyote hapo havipo sawa...
Kila kilichoundwa na binadamu hakikosi mapungufu na nyakati pia hazifanani kama ilivyo majira ya mwaka
 
Yataka moyo hasa kwa club ambazo hazina structure madhubuti za umiliki wake na uongozi wake na uhakika wa mapato na matumizi katika muktadha endelevu hasa kiuchumi na kibiashara.
 
Pole mtaani wangu ttzo lenu lilikuwa kujimwambafai sana ndio maana mnazodolewa sana mkajisahau kbsa
Tangu lini adui akakuombea jema? Hizi ni za kawaida sana mbona? [emoji23] Maneno ya Mungu yanasema AJIDHANIAYE AMESIMAMA AJIANGALIE ASIANGUKE... Mwisho wa kunukuu na siongezi neno hapo
 
Vipi kwani imekuwaje?

Kuna mtu ametilia mashaka ukolo wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…