Nakushauri badilisha heading.
Maana watu kibao wamefungua waliju kuna mgao wa pesa,hahaha aisee watu noma kweli.
Kwanza nakushauri bora ununue bodaboda kwanza kuliko kukopa.
Kwa maskini hakuna mkopo wa chombo cha moto halafu ukatusua,lazima utaadhirika mkuu.
Unavyofikiria sio kabisa na uhalisia wa ulipaji wa deni.
Maana hapo inabidi udaiwe kabribia 3m nyingine,sasa usifikirie kwamba kirahisi utazilipa kwa kutegemea biashara hiyo.
Ushauri wangu,yaani usijaribu hiyo kitu ya mkopo,kama huamini basi kuna siku utaikumbuka post yangu.Tena nakupa miezi sita tu utapata jibu lako.