Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
Usijali, nakuja mda mda.
Acheni umbea.mi haka kahabari ka MK na ES ivi vipande vipande vinanipa shida nataman ningeipata mtiririko mzuri maana donge la umbea limenikaba balaa
mi haka kahabari ka MK na ES ivi vipande vipande vinanipa shida nataman ningeipata mtiririko mzuri maana donge la umbea limenikaba balaa
mhh tupen mchapo bas
Jamani hii issue nitapataje kwa mtiririko mzuri?hapa naona imeungwa ungwa nimeshindwa kuipata vyema.
hahaha yan stori unazotoaga nachekaga hata ukiwa haupo
mi haka kahabari ka MK na ES ivi vipande vipande vinanipa shida nataman ningeipata mtiririko mzuri maana donge la umbea limenikaba balaa
Madame B tangu juzi nakufwatilia ila sielew chochote kweli Mbeya mbali
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Acheni umbea.
Erick ana makubwa aisee......na anayijoconvey kwa watu lol!!!!!!!!!!!
Utasema huyu jamaa pepo yake ileeeeeeeeeeee
walimsingizia bure Sumaye kumbe genge haramu la waroho wa hela limehusika.....
Ila hii kitu itamtafuna sana tu
Umenifata na huku.....mwanaume mmbea wewe looh
Mweeh!
Si unajua mie m-mbea wa jiji, stori zote za town ninazo.
...mlete tumsute shoga.
Ukute hawa ndo OFM wa ES.
Umenifata na huku.....mwanaume mmbea wewe looh
kwan hupend jmn nakupenda
ndo utupege jaman
mhh unisute hujui mm shemegi yako namlinda shoha ako asiibiwe
kwan hupend jmn nakupenda
mwungwana una hela maisha ya kulea mtu siwezi mieUna hela wewe, au unataka ulelewe kama Ben Kinyaiya na jimama Joyce!