Nitatoa siri za Shigongo - Uwoya

Status
Not open for further replies.
tena hizo nywele sio za sehem moja ati!!!!!!!

unaweza kukaba hadi penalti na wenzio wakawa wanamega tu

Umeona eee...
Zahra White alisema...Naolewa na kijana lakini penzi napewa na wazee.
Chezea wanawake wa mji wa Darisalama yeye!
 
Last edited by a moderator:
mwungwana una hela maisha ya kulea mtu siwezi mie

niwaachie wenye hiyo fani kina joyce na madamee wa Epique......

...meona ee...
Akina Ally wanaogelea tu kwenye madimbwi ya vinena vya watu wazima.
Wanaume jamani, huko si ndio kuchungulia live ulikotoka...!!!, au ana mpini uchapao barabara!
Mweehh....hebu nifunge bakuli langu mie.
 
Last edited by a moderator:
asante kwa kunipenda......ngoja nikalale mie GPL wakininasa mbona

wanniweka front page hata kwa kisa cha kutunga
hivi hawana kazi za kufanya? lakini mimi hudhani watu wanaofwatilia story za hawa GPL ni poor thikers na hawana kazi za kufanya mjini
 
...meona ee...
Akina Ally wanaogelea tu kwenye madimbwi ya vinena vya watu wazima.
Wanaume jamani, huko si ndio kuchungulia live ulikotoka...!!!, au ana mpini uchapao barabara!
Mweehh....hebu nifunge bakuli langu mie.
hahaha usinipagawishe mie yaaani nacheka..........
...yote hii ni kupenda shortcut life vijana wa kiume tunaumizwa na hili wengi hupenda vya dezo na hawapendi kazi ....kazi ni kipimo cha utu hao wataogelea kwa kitambo tu but mwisho huwa mchungu na huuza nafsi zao bure maaana hao akina madam huitaji kuuuza ili wawatunze vijana mimi ni mtoto wa kiume natambua wajibu wangu natambua nafasi yangu ktk jamii mungu atusaidie watoto wetu wasiangamie kwa ujimga huu....:focus: hela ya kuishi mjini ninayo
 
kuna mbeba box humu humu JF alishalalamika kuhusu kuibiwa dolare zake za kutosha kwenye hotel ya shigongo, kumbe ni jizi tu lilojaa tamaa. siku na lenyewe lif.......i...r...we
 

Hapo kwa red ndo umeongea la maana.
Ngoja niongee na shoga langu la Ukwenhe Heaven on earth, ili tuje kuzipangia budget shem langu.
Ndo mana nakupenda.
 
Last edited by a moderator:
Shigongo ametajirika kwa ajili ya kuuza habari za watu, inshaAllah muosha huoshwa pia
 
Hey! kwanini tusi watazame akina Bilget,Mengi, tukafuata nyayo zao kuliko kusutana,umbea na matukano.Be a gentle man!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…