simu yangu tecno t605
ilikuwa poa ila niliirestore na pia nikaclear cache sina ujuz nayo kuwa inafanya kaz gan kubwa zaid yakuongeza spid tatzo baada ya hapo opera min inazingua balaa kuingia jf na fb inazingua hata mara 50 nisaidien nifanyeje iwe poa ni operamin ya simu version 6.1