Nitawaelezaje ili nioe?

Nitawaelezaje ili nioe?

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
NITAWAELEZAJE ILI NIOE?

Habari za leo kaka magic power

Kuna jambo linaninyima usingizi sana,Mimi ni kijana na baba wa miaka 31 ila sijaoa ni mwajiriwa serikalini na mjasiriamali nina mabinti wawili mama tofauti ambao nilizaa nao mda wa kwanza ana miaka 08 yuko darasa la tatu na wa pili yupo chekechea ana miaka 04.

Changamoto yangu nikitaka kuoa naogopa naanzaje kujieleza kwa ninayetaka kumuoa kwamba nina watoto tayari wawili na atawaonaje kwanza?

Nahisi kukosa amani ingawa natamani kuoa maana sijawahi kuoa jamani looh! niliozaa nao wao walishaolewa kwingine maana mimba zenyewe ndo tulipeana hatukuwa hata na malengo yeyote.

Nifanyefanyeje sasa jamani na je itawezekana kweli kuoa mdada na akaelewa kuwa nina watoto na akachukulia kawaida tu? Emu nipe ushauri ikiwezekana hata kwny majukwaa Yako post
1732085273804.jpg
nitapitia comment huenda kuna wenzangu walipitia hili pia.

Haya njooni tumpe mawazo mjomba
 
NITAWAELEZAJE ILI NIOE?

Habari za leo kaka magic power

Kuna jambo linaninyima usingizi sana,Mimi ni kijana na baba wa miaka 31 ila sijaoa ni mwajiriwa serikalini na mjasiriamali nina mabinti wawili mama tofauti ambao nilizaa nao mda wa kwanza ana miaka 08 yuko darasa la tatu na wa pili yupo chekechea ana miaka 04.

Changamoto yangu nikitaka kuoa naogopa naanzaje kujieleza kwa ninayetaka kumuoa kwamba nina watoto tayari wawili na atawaonaje kwanza?

Nahisi kukosa amani ingawa natamani kuoa maana sijawahi kuoa jamani looh! niliozaa nao wao walishaolewa kwingine maana mimba zenyewe ndo tulipeana hatukuwa hata na malengo yeyote.

Nifanyefanyeje sasa jamani na je itawezekana kweli kuoa mdada na akaelewa kuwa nina watoto na akachukulia kawaida tu? Emu nipe ushauri ikiwezekana hata kwny majukwaa Yako post View attachment 3156705 nitapitia comment huenda kuna wenzangu walipitia hili pia.

Haya njooni tumpe mawazo mjomba
Usiowe Kwanza bado hujakuwa, kukuwa si namba za miaka bali akili kukomaa, hao wanawake uliozaa nao akili zao zimekomaa ndio maana wameolewa ila nakushauri wewe usiowe bado ni mtoto subiri ukuwe kwanza.
 
Back
Top Bottom