Ki Mun JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 3,442 Reaction score 4,388 Nov 1, 2017 #1 Hivi ni sahihi kwa kiongozi yeyote yule kupotosha lugha? Au ndo anaikuza labda tuambiwe...mara "nawafanzia" kazi, mara "kubomoleshwa", hii misamiati iko kwenye kamusi ya TUKI?
Hivi ni sahihi kwa kiongozi yeyote yule kupotosha lugha? Au ndo anaikuza labda tuambiwe...mara "nawafanzia" kazi, mara "kubomoleshwa", hii misamiati iko kwenye kamusi ya TUKI?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 1, 2017 #2 As long as mmelewana haina shida... Cc: mahondaw