Nitawamiss nyote

Sijitoi tena mpendwa nishaghairi,nliamua tu mm binafsi,pm zilikua full na sikutegemea,imenibidi tu nitulie na my frendz hapa
Umefanya jema sababu hapa ni tulizo la kila kitu. Hizo pm usipozijibu si watachoka. Badili avatar weka mbaya ili wasikufate au acha neutral huna haja ya kuweka chochote ila hilo jina mhu najua shiiida. Watu wanavutiwa na mambo mengi, ID, avatar, na contribution zako hivyo kama contribution zako ni nzuri usilalamike ila kama ni hizo mbili badili picha na jina ila ubaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…