Nitawamiss nyote

Hhhaaa eti kesi za bei rahis
Ndo maana yake, ukiingia kwenye matatizo basi hata ukihadithia watu waone imetokea bahati mbaya ambayo ingeweza kumtokea mtu yeyote tu.

Sio unafuata Mdundiko mpaka unapotea njia unaingia machakani unavutwa na chatu, halafu ukianza kulalamika watu wanakuona mwehu.
 
Huyu queen anakuchukia anakujuaa?
 
Huyu queen anakuchukia anakujuaa?
Hanichukii huyo ana mapenzi kama yale ya Wakurya, mtu akikupenda anakupiga, sasa na yeye ananipenda halafu ananikashifu, ndiyo furaha yake. Nimemwambia akapimwe "bipolar disorder". Siku nyingine ananichangamkia, siku nyingine haishi kunitukana.

Lakini mimi nishamwambia nina wangu tayari, na mke wangu yuko hapahapa, ameniruhusu kucheza muziki wa kwetu anamuangalia tu.
 
Hhhhaaaaa mapenzi ya kikurya ni balaa halaf siyatakii, haya nimeona anafunguka kweli anatoa ya moyoni
Hizo ngoma unazocheza zinaangaliwa na zimeruhusiwa ila zisizidi mpaka .wivu unataka zidia[emoji23][emoji15][emoji8]
 
Haya mama, nimesikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…