Sitak hata kuwaza maana unaweza kukosa mke ukwen kisa hayo mamboWanavyoigana sasa, nasubiri kusikia Airtel na Voda nao wanakuja na kauli mbiu ipi.
Umejua kunifurahisha leo,mpk nacheka kwa sauti na hivo Visa vyako vya kuleft[emoji23][emoji23]ndo umeniacha hoiCheka tuu shogaa maana Tutakumiss saaana
Umeonaee. [emoji23] [emoji23]Cheka tuu shogaa maana Tutakumiss saaana
Utataka in( child voice)[emoji28][emoji1]Me bana chitaki (in a baby voice)
Asante sana,na we pia mkuu[emoji120]Siyo mbaya mkuu. Maadamu ulipoingia hukubisha hadi ukasubiri ukaribishwa, kuaga kwako ni busara tu. Panapo majaliwa mkubwa wangu!
Mkuu kifurushi kinakukoseshaje mke?Sitak hata kuwaza maana unaweza kukosa mke ukwen kisa hayo mambo
Hahaha[emoji23][emoji23]umesahau neno
Sakayo left
Ramadhan njemaHali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
Ndo maana napambana, najua kila kitu ni lazima kupambanaNina love wangu lakin.
Nataka niwe na wewe uchiondoke ( in a baby voice)Utataka in( child voice)[emoji28][emoji1]
Ww si Kila siku tunawasiliana[emoji3]unajidai kusikitika[emoji23]Umeonaee. [emoji23] [emoji23]
Unaingia kwa shemej zako unawaambia Nan anijazie nimjaze hapo umeishiwa vocha unafikir watasemajeMkuu kifurushi kinakukoseshaje mke?
Tena ukute kabisa ni moja ya item za kwenye mahari.
Unaongea nn mkuu,naona kama unaongea pekeako,au unaongea na mm![emoji15]I never expect things lk that, is lk bypass "BOOM"
We acha tuuUmejua kunifurahisha leo,mpk nacheka kwa sauti na hivo Visa vyako vya kuleft[emoji23][emoji23]ndo umeniacha hoi
Hahaha [emoji23]Hahaha
Wewe unapenda ni left siooo... Poaa
Sakayo left
Acheke tu mamy, maana hamna namna ingineUmeonaee. [emoji23] [emoji23]
Shubili kwanzaNataka niwe na wewe uchiondoke ( in a baby voice)
Anaongea na simuUnaongea nn mkuu,naona kama unaongea pekeako,au unaongea na mm![emoji15]
Nicheke ninenepe kwa Mara ya mwisho[emoji1][emoji28]Mana nkitoka hapa sjui ntakenulia wapi tena[emoji15]Acheke tu mamy, maana hamna namna ingine