Shaloom Sanga
Member
- May 20, 2017
- 52
- 36
Wataka kuniumiza mbavu wewe[emoji23]mm nahis anaongea na computer[emoji1][emoji28]Anaongea na simu
We kama Vipi ukitaka kuchekaaa njoo nikupe id yangu basiNicheke ninenepe kwa Mara ya mwisho[emoji1][emoji28]Mana nkitoka hapa sjui ntakenulia wapi tena[emoji15]
Akimaliza atakupigia tuu, Ngoja tumsubiriWataka kuniumiza mbavu wewe[emoji23]mm nahis anaongea na computer[emoji1][emoji28]
Unaingia kwa shemej zako unawaambia Nan anijazie nimjaze hapo umeishiwa vocha unafikir watasemaje
[emoji23][emoji23][emoji23]ushaleft shoga ntatumiaje io Id yakoWe kama Vipi ukitaka kuchekaaa njoo nikupe id yangu basi
Sakayo left
Kumbe WAtu mshavuka server ZA maxWw si Kila siku tunawasiliana[emoji3]unajidai kusikitika[emoji23]
Kabisa yaani mana ukiangalia mwisho wa kuingia humu ni kesho jioni.Acheke tu mamy, maana hamna namna ingine
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]ushaleft shoga ntatumiaje io Id yako
Naona bado hajamaliza[emoji28][emoji23]Akimaliza atakupigia tuu, Ngoja tumsubiri
Ndio maana sitak hayo maswalaHa ha ha, hapo kinanuka aisee.
[emoji15]ukuu ni ufalmeUkuu ndo nn eti kw mfano
[emoji28][emoji1]mnataka waseme muwapokonye bahatiKumbe WAtu mshavuka server ZA max
Mbona mie huniambii nicheke...Kabisa yaani mana ukiangalia mwisho wa kuingia humu ni kesho jioni.
Hivyo Arabian queen furahi tu rafiki.
[emoji28][emoji28]kesho uskuu[emoji23]sio jioniKabisa yaani mana ukiangalia mwisho wa kuingia humu ni kesho jioni.
Hivyo Arabian queen furahi tu rafiki.
Unataka uwadanganye watu baadae kua ww ndio Arabian queen[emoji28][emoji1]Niachie password ya hiyo id basi
Dah ngoja niongee vzur na mie niwemo kwenye haya mawasaliano[emoji28][emoji1]mnataka waseme muwapokonye bahati
[emoji28][emoji1]hapo sawa,ntakua napita kimyakimyaHahaha
Nakuachia password
Akwendwee hukoo, hana bandoNaona bado hajamaliza[emoji28][emoji23]