Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
-
- #421
[emoji28]wenzako wamesomea ndio Mana wanapita kimyakimyaDah ngoja niongee vzur na mie niwemo kwenye haya mawasaliano
[emoji23][emoji23][emoji23]Akwendwee hukoo, hana bando
Mbea unamjua kwa suraRamadhani inaonyesha alikuwa mbeya Sasa anaacha ili kupisha mwezi mtukufu
Hv hata Sky nae analeft? Kweli uncle Magu kabanaKuna shida gan mbona member wana left sana
Imekaa vzr hiyo ila sababu hujaweka
Umeonaee[emoji28][emoji1]hapo sawa,ntakua napita kimyakimya
Hujawah kuwa mmbea ila jana nilikuona unaongea na hubby wangu nikawaacha tu. Usikute hii ni janja ya kuendelea kuwasiliana nje ya hapa eeeh[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Mbea unamjua kwa sura
Bora umenielewesha mwaya [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28][emoji28]kesho uskuu[emoji23]sio jioni
Hahaha huku niliko hamna mtu anaitwa magu[emoji1][emoji28]Hv hata Sky nae analeft? Kweli uncle Magu kabana
Hahahaaa! Wewe baki baki kidoogo basi hata hadi kesho kutwa [emoji125] [emoji125]Mbona mie huniambii nicheke...
Hujui naleft
[emoji23][emoji23][emoji23]yang ntakupa uimiliki ww kabisa wakujue ndio we Arabian queenUmeonaee
Nawe unipe basi ya kwako niwe nachungulia tuu
Utakuja mjua tu wewe subir akutembelee ofcn akute unachart. Bora umegundua mapemaHahaha huku niliko hamna mtu anaitwa magu[emoji1][emoji28]
Hahahaha[emoji23][emoji23]una wivu ww, sjui kakimbilia wapi uyu mtu STUNTERHujawah kuwa mmbea ila jana nilikuona unaongea na hubby wangu nikawaacha tu. Usikute hii ni janja ya kuendelea kuwasiliana nje ya hapa eeeh[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji1]kesho itbidi nipite kwa member mmojammoja nimpe hugBora umenielewesha mwaya [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23]sitaman hata kumjuaUtakuja mjua tu wewe subir akutembelee ofcn akute unachart. Bora umegundua mapema
Akitoka yule wa ubavu wako naomba nifuate mimi niwe wa pili. [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji1]kesho itbidi nipite kwa member mmojammoja nimpe hug
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji108] [emoji12] [emoji12] [emoji12] huna sababu ya kutaman atakuja menyewe[emoji23][emoji23]sitaman hata kumjua