Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
-
- #1,541
[emoji23][emoji23][emoji23]Queen 2k. Utabaki tu...
Kwani gwajima kakukosea nin mamdogoAisee sijawahi hata siku moja na sitaenda
AmenWakati wote.
Yaani hujachangamka kabisaasijapoa mm msharika wa kkkt
HeeMimi huyoo lini nilikuaga naenda kwa gwajima
Na wewe pia bhanaPambana basi.
Ndio hutapatikana mazima au baada ya Ramadan utarudi kwenye kundini?Hali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
Poa PoaNdio nimemwona asante
hajanikosea kitu ila siwezi kwenda kwake hata siku moja kusaliKwani gwajima kakukosea nin mamdogo
Na mie nahisi hivyoSakayo ni typing error ya zakaya or?
Utamuweza hapo kanidanganya tu imebidi nimkubalie yaisheAmesema alikuwa anaenda kwenye maombi tuu
Ana jina zuricuzoo linamo
hamna nipo sawaYaani hujachangamka kabisaa
Wow that's good.hajanikosea kitu ila siwezi kwenda kwake hata siku moja kusali
Hahahasi kweli bana ye kajitoa anaumbuka mbele za watu kila saa simama dede
SawaPoa Poa
Msalimie basi
Naitunza mpaka niwolewe mieUsiende kabisa
Baki na bikra yako
Niambie Malkia wanguWe sakayoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahah inenibid nifurahi tuu hamna namnaAm sorry Sina mume.
HahahaHaya itakuwa wadogo zako