Mambo my wiiHahahaaa! Uzi umefanya watu wasilale.
Mzima my.
Mda si mrefu mpendwa,kwa mahaba haya ,sitokusahau ww Wala emmyta,n wengine lazma niwaalike [emoji38][emoji38]Basi Sawa
Uwolewe sasaa
Hawaendi popote hawaNa shemeji unaenda nae au yeye unatuachia tuwe tukutunzie........😵
Pita tu[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124]
Lol[emoji23]ntawageuka ohoooWacha wee.[emoji2] [emoji2]
YaaniHahahaha loll[emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli mmejitahidi sana
Anaanzaje kuondoka sasaaKweli aisee. [emoji2] [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23]sakayooHahaha
Nakuonaa nakuonaaa, umeamua kubebika
Nimejivika mabomuLol[emoji23]ww umeamua sio siri
HahahaWacha wee.[emoji2] [emoji2]
[emoji13]bwana atabakia tu ,atanichaje kwa mfno,si ntaibiwa[emoji23]Tumbembeleze bwana abakie. [emoji24] [emoji24]
Nikwambie kitu usiondoke basi kabisa punguza tu kuingia shoga angu [emoji85] [emoji85]Hahaha mzim kipenzii[emoji23][emoji23]siamin ujue
Amini sasaHahaha mzim kipenzii[emoji23][emoji23]siamin ujue
HahahaSubutuuu[emoji16][emoji16]nkiondoka nambeba
[emoji13]zishatimia k mbil au badoJamaniiii
Mbona hivyo
Keshabaki huyoooTumbembeleze bwana abakie. [emoji24] [emoji24]
Sijambo wifi yangu. Tunamshukuru m'mungu kumekucha salamaMambo my wii
Lol maua yapi ayo.Sasa maua yote yanajitoa, mm nitabaki nafanya nn![emoji53]
Uende wapi kwa mfanoSubutuuu[emoji16][emoji16]nkiondoka nambeba
Nimepaliwa tuu tajiri[emoji13][emoji13]niniiii