philipo.co
Member
- Oct 6, 2015
- 53
- 6
Mkuu ulishaipataga hii mashine?
Mtafute job Richard yupo humu jfNdugu zangu naombeni mwenye kufahamu zinapopatikana mashine za kufyatulia tofali za udongo ambazo huchomwa.
Nimeambatisha picha, ni vyema zaidi nikafahamu na bei ya mashine yenyewe.
Shukrani
View attachment 1306314View attachment 1306315
Sent using Jamii Forums mobile app