Nitawezaje ku-unlock usb modem?

Nitawezaje ku-unlock usb modem?

afkombo

Member
Joined
Feb 9, 2008
Posts
93
Reaction score
11
Wakuu kwa wale wajuzi wa mambo Haya naomba msaada wenu.Nimekuwa nikitumia HUAWEI EC 189 USB Modem nje ya Tanzania.Nataka nirudi home na nina mpango wa kuendelea kuitumia hiyo Modem nikiwa Home lkn nimepata tetesi kuwa huwa zinakuwa locked.Sasa kwa wenye kujua,nifanyeje km itakuwa locked?
Natanguliza shukran.
 
Back
Top Bottom