Nitawezaje kublock number ya simu sumbufu?

Nitawezaje kublock number ya simu sumbufu?

Najua kuna cm nyingi za mchina zina option ya kuweka hadi namba tano tofauti kwenye back/black list ama ya cm au sms! Nadhani hiyo inaweza kusaidia (akipiga tu anaambiwa buzy) Angalizo:
wale wanaodaiwa naomba wac2mie opt hii unaweza kukatwa mapanga !
 
Hoja yangu sio kukufundisha kublick hio simu bali naomba ujibu maswali yafuatayo

1. Kwa nini umeweka post hii ya kublock simu huku kwenye forum ya mahusiano na mapenzi (Hii inamaanisha nini)

2. Je huyo anaekupigia anatafuta nini kwako? ANakudai (then mlipe umalize tatizo) Anakutaka kimapenzi (then mwambie ukweli au mpe anachokitaka baba...!)

3. Ni bóra uwe muwazi kwa huyo anekupigia hizo simu ili uondokane na hio kero, kublock number au kubadilisha namba itatatua tatizo kwa muda mfupi tu...!
 
Hiyo ni kazi ndogo. Kama una simu ya Nokia yenye option ya Internet fungu kitu kinaitwa Ovi halafu dowload Block listi. Hiyo program ikishaingia kwenye simu yako,utaweza kufanya chochote utakavyo ktk simu yako.
 
Pokea unakaa kimya, i hope u are the one who entertain her, if u have a little bitter words to her she will gradually stop, kama ww unampa sweet honey words ndio u r accelereting her, pokea cm kaa kimya, no reply, no sms, no call. no u, no her, no what, no when, no..... period this is only possible if ur serious Rev.
 
Dear friends

Having some trouble from an old friend, who keeps calling me with abusive phone calls, midnight calls, beeping etc. I am using an iPhone, how can I stop her phone calls from reaching me? like a block list? is there any codes! Msaada tafadhali

Mch Masa K

Mchungaji Masa kwani ukimwambia tu unaboreka na simu na beeping zake hawezi kuacha hayo matabia ?
hebu jaribu kumpigia na kumwambia ukweli
 
google swali lako,utapata majibu because watumiaji wa iphone ni wengi na its likely wengine wamesha encounter tatizo kama lako
 
Hiyo ni kazi ndogo. Kama una simu ya Nokia yenye option ya Internet fungu kitu kinaitwa Ovi halafu dowload Block listi. Hiyo program ikishaingia kwenye simu yako,utaweza kufanya chochote utakavyo ktk simu yako.

Kumbe asante kwa hili ngoja nijaribu
 
Shida ya hii inablock all incoming calls: unapiga * # 33# hii inactivate barring all incoming calls....

Pole mkuu ....download kitu inaitwa iblacklist au mcleaner kwa kutumia cydia kwenye iphone yako..then number yake unaiblacklist hatakaa akupate kamwe...Kwa maelezo zaidi ni PM kama ukikwama..it does very well in my iphone 4..pole sana mpwa
 
Ulizidisha karufundi kaka,nunua samsung ni kiboko iaoption za kublock number zote unazotaka,au mchungaji uliramba chumvi?
 
Pasta unaopekea simu yake na kuiweka pembeni.....huongei kitu.....atajifunza!
 
Habari Mkuu. Akipiga usipokee, itafikia mahali ataona hapa sitakiwi ataacha. Pole
 
hahahaaaaaaaaaa... hiii ni kiboko, nimecheka sana leo

nimemwambia pia ajaribu tu kumface na kusuluhisha aisee, demu kakamata mpini.. LOL

Ni true story, kuna jamaa yangu alifanya hivyo, kumbe yule demu alikua anapiga picha kwa siri (kwenye simu) walimaliza kuchapana na anasave kwenye simu. siku walipoachana demu akarusha zile picha kwenye mitandao hadi ya ofisini kwa jamaa

Jamaa alibidi ahame nchi

Masa, hebu settle na huyo mdada wa watu, au mrudie kifambafamba... na kuwa unampa dozi mbovu, unavunga umelewa hufai, kila kitu unafanya kinyume, hata mudanganya kwamba kazi umefukuzwa..unaomba pesa ya nauli na ya kula, hadi atakuacha[/QUOT

hapo kwenye red kaka inategemea na huyo mdada alimpendea nini kuna wengine wana true love hawaangali kama una pesa au nini yeye akikupenda emependa inaweza ikawa dada anafurahia kampani ya jamaa hata kama yeye ndo atakuwa analipa bill inachukua muda mrefu sana kumsahau mtu uliyempenda kwa dhati maoni yangu kubadili simu hakusaidii kitu aongee na huyo dada mi sijui mapenzi yao yalikuwaje na alimuacha kwa sababu zipi

yaweza dada alikuwa serious kumbe mchungaji alikuwa chovya ni ngumu sana kwa huyu dada najaribu kufikiria maumivu anayopata mpaka anaishia kutukana hajapata watu wakumpa mawazo na kumtuliza mi sijui kwanini tunapenda kucheza na feelings za watu halafu mnakuja humu kuomba ushauri wa kublock simu leo amekuwa msumbufu sababu mapenzi yamekwisha hebu jaribu kuvaa viatu vya huyo dada we bado upo kwenye mapenzi mazito halafu akakubwaga ndio yuko bize na jamaa mpya
 
Rev.Masa... Ili kuepukana na matatizo kama hayo mbeleni kuna options mbali*2 mfano;

1. Uwe unamiliki simu mbili,moja kwa ajili ya vimeo tu... Ambayo waweza kuizima hata kwa wiki mbili hadi mwezi mmoja...
2. Endapo mdada yeyote anakusumbua akipiga mpatie mdada mwingine apokee simu... Dawa ya MOTO ni MOTO...
3. Tembelea site hii Software for Nokia N97 / E71 / E75 / E72 / E63 / N96 / N85 / N95 / 6220 / 5230 / 6110 / X6 / 5800 Xpress Music / Samsung OMNIA HD/ Sony Ericsson Satio / MOTORIZR Z8 kwa option mbali mbali mfano;kama upo Guest ukapigiwa simu waweza uka-bofya option kama vile upo K'koo,Barabarani,Ofisini,baa nk... Ukablock cmu,etc...
 
Khaaaa!
Mkuu unapambana na Stalker sasa?,...

Unaweza kubadilisha namba, au simu zake zote unazi divert kwenye answering machine.
Mimi iliponitokea mkasa kama huo nilikuwa napokea kisha naweka simu pembeni,...namsikia anabweka weeeeeeeeee....halafu anakata.
Sana sana ni yeye analiwa calling credits zake hata kama ana 1000minutes monthly allowance.
Atachoka tu.

Usijifanye unataka hutaki, yaani siku unapokea na kujibishana nae..., ataendelea kupata mixed messages.
Saa nyingine kwenye situations kama hizi ni bora kujivisha helmet na ear muffs kisha kujifanya kiziwi.
29 missed calls si mchezo, Pole sana, ....

Mpwa!

Nimekusoma ila wakati mwingine ni vizuri kumalizana na rafiki kwa heri bila shari. Nadhani unakumbuka wahenga husema kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi. Nimejaribu kuwa napokea na kuweka simu karibu na TV ama Radio. Mdada kakomaa atakata na kupiga tena na kulalamika kuwa anajua unachomfanyia analalamika weee.

Ni Kazi kaka kuhandle hawa viumbe
 
Hoja yangu sio kukufundisha kublick hio simu bali naomba ujibu maswali yafuatayo

1. Kwa nini umeweka post hii ya kublock simu huku kwenye forum ya mahusiano na mapenzi (Hii inamaanisha nini)

2. Je huyo anaekupigia anatafuta nini kwako? ANakudai (then mlipe umalize tatizo) Anakutaka kimapenzi (then mwambie ukweli au mpe anachokitaka baba...!)

3. Ni bóra uwe muwazi kwa huyo anekupigia hizo simu ili uondokane na hio kero, kublock number au kubadilisha namba itatatua tatizo kwa muda mfupi tu...!

1. Kama umekwazika na mimi kuweka jukwaa la mahusiano basi nitawaomba MOD wahamishie Jukwaa la Uchaguzi. Are you happy now?

2. Huwa sidai wala kudaiwa na mtu, kama ninashida huwa napoka kwenye financial institutions. Huwa sikopeshi pia maana najua madeni huvunja urafiki hasa kwa wanaume na ukimkopesha mdada mtaishia kupigana mikasi. Kwazo lako halina logic sorry

3. Walau umeweza changia kitu cha maana. Asante
 
Pokea unakaa kimya, i hope u are the one who entertain her, if u have a little bitter words to her she will gradually stop, kama ww unampa sweet honey words ndio u r accelereting her, pokea cm kaa kimya, no reply, no sms, no call. no u, no her, no what, no when, no..... period this is only possible if ur serious Rev.

Hii inachangia sana huenda! Shida wengine tulizaliwa kwa ajili ya mapenzi sina bitter words, huwa sipokei muda mrefu na yeye atapiga hadi nipokeee. Niko serious mazee ila huyu ni kiboko aisee nimejaribu kipindi fulani kuwa bitter na yeye hajali wala kuelewa.
 
Mchungaji Masa kwani ukimwambia tu unaboreka na simu na beeping zake hawezi kuacha hayo matabia ?
hebu jaribu kumpigia na kumwambia ukweli

Nimefanya hivyo mara kadhaa na jibu ni lakukatisha tamaa eti I cant leave bila kukusikia najua wanichukia lakini vumilia lol ni balaa kubwa dawa ni kublock tu.
 
Pole mkuu ....download kitu inaitwa iblacklist au mcleaner kwa kutumia cydia kwenye iphone yako..then number yake unaiblacklist hatakaa akupate kamwe...Kwa maelezo zaidi ni PM kama ukikwama..it does very well in my iphone 4..pole sana mpwa

Mpwa wa ukweli! Nimedownload hii kitu na box. Ngoja niinstall nitakupa mshindo nyuma (feed back) Asante kwa PM pia. Nitakucheki baadaye
 
Rev.Masa... Ili kuepukana na matatizo kama hayo mbeleni kuna options mbali*2 mfano;

1. Uwe unamiliki simu mbili,moja kwa ajili ya vimeo tu... Ambayo waweza kuizima hata kwa wiki mbili hadi mwezi mmoja...
2. Endapo mdada yeyote anakusumbua akipiga mpatie mdada mwingine apokee simu... Dawa ya MOTO ni MOTO...
3. Tembelea site hii Software for Nokia N97 / E71 / E75 / E72 / E63 / N96 / N85 / N95 / 6220 / 5230 / 6110 / X6 / 5800 Xpress Music / Samsung OMNIA HD/ Sony Ericsson Satio / MOTORIZR Z8 kwa option mbali mbali mfano;kama upo Guest ukapigiwa simu waweza uka-bofya option kama vile upo K'koo,Barabarani,Ofisini,baa nk... Ukablock cmu,etc...

Hahahahaha wewe kiboko nimependa option ya kwanza.
 
Back
Top Bottom